Mathayo 16:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192110 Wala ile mikate saba kwa wale elfu nne, na makanda mangapi mliyookota? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Au, ile mikate saba waliyogawiwa wale watu 4,000, je, mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Au, ile mikate saba waliyogawiwa wale watu 4,000, je, mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Au, ile mikate saba waliyogawiwa wale watu 4,000, je, mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Au ile mikate saba kwa watu elfu nne na idadi ya vikapu vilivyojaa mabaki mlivyokusanya? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Au ile mikate saba iliyolisha watu 4,000 na idadi ya vikapu vingapi vya mabaki mlivyokusanya? Tazama sura |