Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 16:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 WAKAMJIA Mafarisayo na Masadukayo, wakamjaribu, wakamwomba awaonyeshe ishara itokayo mbinguni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Mafarisayo na Masadukayo walimwendea Yesu, na kwa kumjaribu, wakamwomba awaoneshe ishara kutoka mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Mafarisayo na Masadukayo walimwendea Yesu, na kwa kumjaribu, wakamwomba awaoneshe ishara kutoka mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Mafarisayo na Masadukayo walimwendea Yesu, na kwa kumjaribu, wakamwomba awaoneshe ishara kutoka mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Mafarisayo na Masadukayo wakamjia Isa na kumjaribu kwa kumwomba awaoneshe ishara kutoka mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Mafarisayo na Masadukayo wakamjia Isa na kumjaribu kwa kumwomba awaonyeshe ishara kutoka mbinguni.

Tazama sura Nakili




Mathayo 16:1
33 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Mafarisayo wakatoka wakamfanyia shauri la kumwangamiza.


NDIPO waandishi na Mafarisayo toka Yerusalemi wakamwendea Yesu wakinena,


Yesu akawaambia, Angalieni, jihadharini na chachu ya Mafarisayo na Masudukayo.


Mafarisayo wakamwendea, wakamjaribu, wakimwambia, Je, ni halali mtu kumwacha mkewe kwa killa sababu?


Ndipo Mafarisayo wakaenda zao, wakafauya shauri, jinsi ya kumtega kwa maneno.


Lakini Yesu akaufahamu uovu wao, akasema, Mbona mnanijaribu, enyi wanafiki?


Siku ile Masadukayo, watu wanenao kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza,


Waandishi na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Musa:


Hatta siku ya pili, ndiyo iliyo baada ya Maandalio, makuhani wakuu na Mafarisayo wakamkusanyikia Pilato,


Maana nawaambieni, Haki yenu isipozidi kuliko haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.


Mafarisayo walipoona, wakawaambia wanafunzi wake, Kwa nini mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?


Mafa risayo wakamwendea, wakamwuliza, Ni balali mtu kumwaeha mkewe? wakimjaribu.


Nae, akijua unafiki wao, akawaambia, Mbona mmenijaribu? nileteeni dinari niione. Wakaleta.


Na Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hapana kiyama, wakamwendea,


Mwana sharia mmoja akasimama akimjaribu, akasema, Mwalimu, nifanyeni niurithi uzima wa milele?


Wengine kwa kumjaribu wakataka ishara ya mbinguni.


Lakini akatambua ujanja wao, akawaambia,


Kiisha baadhi ya Masadukayo wakamwendea, watu wanenao ya kwamba hakuna kiyama: wakamwuliza, wakinena,


Wakasema neno hili wakimjaribu wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika inchi.


HATTA walipokuwa wakisema na watu wale, makuhani na akida wa hekalu na Masadukayo wakawatokea,


Akaondoka kuhani mkuu na wote waliokuwa pamoja nae (hao ndio walio wa madhehehu ya Masadukayo) wamejaa wivu,


Kwa sababu Wayahudi wanataka ishara, na Wayunani wanatafuta hekima;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo