Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 15:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Watu hawa hunikaribia kwa vinywa vyao, Na kwa midomo yao huniheshimu; Bali mioyo yao iko mbali yangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 ‘Mungu asema: Watu hawa huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 ‘Mungu asema: Watu hawa huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 ‘Mungu asema: Watu hawa huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 “ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 “ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami.

Tazama sura Nakili




Mathayo 15:8
11 Marejeleo ya Msalaba  

Enyi wanafiki, ni vyema alivyotabiri Isaya katika khabari zenu, akinena,


Akawaambia, Isaya aliwakhubiri vema ninyi wanaliki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa hunibeshimu kwa midomo, Bali mioyo yao iko mbali nami;


Yesu akamwona Nathanaeli akija kwake, akamtaja khabari zake, Tazama, huyu ni Mwisraeli kweli kweli, hamna hila ndani yake.


illi wote wamheshimu Mwana kama wanavyomheshimu Baba. Asiyemheshimu Mwana, hamheshimu Baba aliyempeleka.


Huna fungu wala huna sehemu katika jambo hili, kwa kuwa moyo wako si mnyofu mbele ya Mungu.


Angalieni, ndugu zangu, usiwe katika mmoja wenu moyo mbovu wa kutokuamini, kwa kujitenga na Mungu aliye hayi.


Kwa maana, Atakae kupenda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie nlimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo