Mathayo 15:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 Bali ninyi hunena, Afakaemwambia baba yake au mama yake, Cho chote kikupasacho kufaidiwa nami ni sadaka, asimheshimu baba yake au mama yake, huwa bassi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Lakini nyinyi mwafundisha ati mtu akiwa na kitu ambacho angeweza kumsaidia nacho baba yake au mama yake, lakini akasema: ‘Kitu hiki nimemtolea Mungu,’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Lakini nyinyi mwafundisha ati mtu akiwa na kitu ambacho angeweza kumsaidia nacho baba yake au mama yake, lakini akasema: ‘Kitu hiki nimemtolea Mungu,’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Lakini nyinyi mwafundisha ati mtu akiwa na kitu ambacho angeweza kumsaidia nacho baba yake au mama yake, lakini akasema: ‘Kitu hiki nimemtolea Mungu,’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Lakini ninyi mwafundisha kwamba mtu akimwambia baba yake au mama yake, ‘Kile ambacho ningeweza kukusaidia kimewekwa wakfu kwa Mungu,’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Lakini ninyi mwafundisha kwamba mtu akimwambia baba yake au mama yake, ‘Kile ambacho ningeweza kukusaidia kimewekwa wakfu kwa Mungu,’ Tazama sura |