Mathayo 15:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192139 Akawaaga makutano, akapanda chomboni, akaenda pande za Magdala. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Basi, Yesu akawaaga watu, akapanda mashua, akaenda katika eneo la Magadani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Basi, Yesu akawaaga watu, akapanda mashua, akaenda katika eneo la Magadani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Basi, Yesu akawaaga watu, akapanda mashua, akaenda katika eneo la Magadani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Baada ya kuaga umati wa watu, Isa aliingia katika mashua, akaenda sehemu za Magadani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Baada ya kuaga ule umati wa watu, Isa aliingia katika mashua, akaenda sehemu za Magadani. Tazama sura |