Mathayo 15:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192137 Wakala wote wakashiba: wakayaokota masazo ya vipande vya mikate, makanda saba, yamejaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Wote wakala, wakashiba. Kisha wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu saba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Wote wakala, wakashiba. Kisha wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu saba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Wote wakala, wakashiba. Kisha wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu saba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Wote wakala na kushiba. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Wote wakala na kushiba. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba. Tazama sura |