Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 15:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

35 Akawaagiza makutano waketi chini:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Basi, Yesu akawaamuru watu wakae chini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Basi, Yesu akawaamuru watu wakae chini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Basi, Yesu akawaamuru watu wakae chini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Isa akaagiza watu wote waketi chini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Isa akawaambia ule umati wa watu waketi chini.

Tazama sura Nakili




Mathayo 15:35
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawaambia, Mikate mingapi mnayo? Wakasema, Saba, na visamaki vichache.


akaitwaa ile mikate saba na vile visamaki, akashukuru, akavimega, akawapa wanafunzi wake, nao wanafunzi wakawapa makutano.


Yesu akasema, Waketisheni watu. Palikuwako majani tele mahali pale. Bassi watu waume wakaketi, jumla yao wapata elfu tano.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo