Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 15:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 Wanafunzi wake wakamwambia, Tupate wapi mikate mingi hapa nyikani, hatta kushibisha makutano mengi namna hii?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Wanafunzi wakamwambia, “Hapa tuko nyikani; tutapata wapi chakula cha kuwatosha watu wengi hivi?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Wanafunzi wakamwambia, “Hapa tuko nyikani; tutapata wapi chakula cha kuwatosha watu wengi hivi?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Wanafunzi wakamwambia, “Hapa tuko nyikani; tutapata wapi chakula cha kuwatosha watu wengi hivi?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Wanafunzi wake wakasema, “Tutapata wapi mikate ya kutosha kulisha umati mkubwa namna hii, nasi tuko nyikani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Wanafunzi wake wakasema, “Tutapata wapi mikate ya kutosha kuwalisha umati huu wa watu mkubwa namna hii, nasi tuko nyikani?”

Tazama sura Nakili




Mathayo 15:33
9 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta ilipokuwa jioni, wanafunzi wake wakamwendea, wakanena, Mahali hapa nyika tupu, na saa imekwisha pita; waage makutano, waende zao vijijini, wakajinunulie vyakula.


Yesu akawaita wanafunzi wake, akasema, Nawahurumia makutano, kwa kuwa yapata siku tatu wamekaa pamoja nami, hawana kitu cha kula: na kuwaaga wakifunga sitaki, wasije wakazimia njiani.


Yesu akawaambia, Mikate mingapi mnayo? Wakasema, Saba, na visamaki vichache.


Akajibu, akawaambia, Wapeni ninyi chakula: Wakamwambia, Je! twende zetu tukanunue mikate ya dinari miateen tukawape kula?


Akawaambia, Wapeni ninyi chakula. Wakasema, Hatuna kitu zaidi ya mikate mitano na samaki mbili, tusipokwenda sisi wenyewe tukawannnulie vyakula watu hawa wote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo