Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 15:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Akajibu, akawaambia, Mbona na ninyi huikhalifu amri ya Mungu kwa mapokeo yenu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Yesu akawajibu, “Kwa nini nanyi hamjali sheria ya Mungu ila mnapendelea mapokeo yenu wenyewe?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Yesu akawajibu, “Kwa nini nanyi hamjali sheria ya Mungu ila mnapendelea mapokeo yenu wenyewe?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Yesu akawajibu, “Kwa nini nanyi hamjali sheria ya Mungu ila mnapendelea mapokeo yenu wenyewe?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Isa akawajibu, “Mbona ninyi mnavunja amri ya Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Isa akawajibu, “Mbona ninyi mnavunja amri ya Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu?

Tazama sura Nakili




Mathayo 15:3
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mbona wanafunizi wako huyakhalifu mapokeo ya wazee, kwa maana hawanawi mikono walapo chakula.


Kwa kuwa Mungu aliamuru, akisema, Mheshimu baba yako na mama yako; na, Amtukanae baba yake au mama yake na afe.


mkilitangua neno la Mungu kwa hadithi yenu mliyohadithia; tena mwafanya mambo mengi yaliyo sawasawa na hayo.


Mambo hayo yanaonekana kana kwamba yana hekima, katika namna ya ibada mliyojitungia wenyewe, na katika kujinyenyekea, na katika kuutawala mwili kwa ukali: illakini hayafai kitu wala kuwa dawa ya tamaa za mwili.


Angalieni intu asiwateke kwa filosofia yake na madanganya matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wana Adamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo.


wasisikilize hadithi za Kiyahudi, na maagizo ya wana Adamn wajiepushao na kweli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo