Mathayo 15:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192125 Nae akaja akamsujudia, akinena. Bwana, nisaidie. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Hapo huyo mama akaja, akamsujudia, akasema, “Bwana, nisaidie.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Hapo huyo mama akaja, akamsujudia, akasema, “Bwana, nisaidie.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Hapo huyo mama akaja, akamsujudia, akasema, “Bwana, nisaidie.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Isa, akasema, “Bwana, nisaidie!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Isa, akasema, “Bwana, nisaidie!” Tazama sura |