Mathayo 15:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192121 Yesu akatoka huko, akaenda pande za Turo na Sidon. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Yesu aliondoka mahali hapo akaenda kukaa katika sehemu za Tiro na Sidoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Yesu aliondoka mahali hapo akaenda kukaa katika sehemu za Tiro na Sidoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Yesu aliondoka mahali hapo akaenda kukaa katika sehemu za Tiro na Sidoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Isa aliondoka mahali pale, akaenda sehemu za Tiro na Sidoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Isa aliondoka mahali pale, akaenda sehemu za Tiro na Sidoni. Tazama sura |