Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 15:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 hayo ndiyo yamtiayo najis mwana Adamu; lakini kula kabla hajanawa mikono hakumtii mwana Adamu najis.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi. Lakini kula chakula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi. Lakini kula chakula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi. Lakini kula chakula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Haya ndio yamtiayo mtu unajisi; lakini kula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Haya ndiyo yamtiayo mtu unajisi; lakini kula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 15:20
12 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, mauaji, mazini, asharati, uizi, ushuhuda wa uwongo, na matukano;


Mbona wanafunizi wako huyakhalifu mapokeo ya wazee, kwa maana hawanawi mikono walapo chakula.


Yesu akatoka huko, akaenda pande za Turo na Sidon.


Na ndani yake hakitaingia kamwe cho chote kilicho kinyonge, wala yeye afanyae machukizo na uwongo, bali wale walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana kondoo.


Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, nae waabuduo sanamu, na wawongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndio mauti ya pili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo