Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 15:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, mauaji, mazini, asharati, uizi, ushuhuda wa uwongo, na matukano;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Maana moyoni hutoka mawazo ya uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na kashfa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Maana moyoni hutoka mawazo ya uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na kashfa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Maana moyoni hutoka mawazo ya uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na kashfa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Kwa maana ndani ya moyo hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na masingizio.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Kwa maana ndani ya moyo hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na masingizio.

Tazama sura Nakili

Mathayo 15:19
24 Marejeleo ya Msalaba  

hayo ndiyo yamtiayo najis mwana Adamu; lakini kula kabla hajanawa mikono hakumtii mwana Adamu najis.

Bali mimi miwaambieni, Killa mtu atazamae mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini nae moyoni mwake.

Nae Yesu, akijua mawazo yao, akasema, Jinsi gani mnawaza maovu mioyoni mwenu?

Bassi, tubia uovu wako huu, ukamwombe Bwana illi, kama yumkini, usamebewe fikara lui ya moyo wako.

Kwa maana najua ya kuwa ndani yangu, yaani ndani ya mwili wangu, halikai neno jema: kwa kuwa kutaka ni katika uwezo wangu, bali kutenda lililo jema sipati.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo