Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 15:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo najis mwana Adamu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Lakini mambo yatokayo kinywani hutoka moyoni, na hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Lakini mambo yatokayo kinywani hutoka moyoni, na hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Lakini mambo yatokayo kinywani hutoka moyoni, na hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Lakini kitokacho kinywani hutoka moyoni, na hiki ndicho kimtiacho mtu unajisi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Lakini kitokacho kinywani hutoka moyoni, na hiki ndicho kimtiacho mtu unajisi.

Tazama sura Nakili

Mathayo 15:18
14 Marejeleo ya Msalaba  

Uzao wa nyoka, mwawezaje kusema mema, mkiwa wabaya? Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake.

Sicho kiingiacho kinywani kimtiacho najis mwana Adamu; bali kitokacho kinywani ndicho kimtiacho najis mwana Adamu.

Hamjafahamu bado ya kuwa killa kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni?

Akanena, Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho najis.

Akamwambia, Kwa kinywa chako nitakuhukumu, ee mtumishi mwovu wewe. Ulijua ya kuwa mimi mtu mgumu, naondoa nisichoweka, navuna nisichopanda;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo