Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 15:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Hamjafahamu bado ya kuwa killa kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutolewa nje chooni?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutolewa nje chooni?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutolewa nje chooni?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Je, hamwelewi kwamba chochote kiingiacho kinywani huenda tumboni, na hatimaye hutolewa nje kikiwa uchafu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Je, hamwelewi kwamba chochote kiingiacho kinywani huenda tumboni, na hatimaye hutolewa nje kikiwa uchafu?

Tazama sura Nakili

Mathayo 15:17
9 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta na ninyi mngali hamna akili?

Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo najis mwana Adamu.

kwa sababu hakimwingii moyoni, illa tumboni tu; kiisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote.

Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa lililo jema: na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa lililo ovu: kwa sababu kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake.

Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu ataharibu vyote viwili, tumbo na vyakula. Na mwili si kwa zina, hali ni kwa Bwana, nae Bwana ni kwa mwili.

Kaangalieni jinsi moto mdogo uwasbavyo kuni nyingi sana. Nao ulimi ni moto, ulimwengu wa uovu. Ndio khabari ya ulimi katika viungo vyetu, huutia najis mwili wote, huliwasha moto gurudumu la maumbile, nao huwashwa moto na jehannum.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo