Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 15:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Akajibu, akasema, Killa pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni, litangʼolewa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Lakini yeye akawajibu, “Kila mmea ambao Baba yangu aliye mbinguni hakupanda, utangolewa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Lakini yeye akawajibu, “Kila mmea ambao Baba yangu aliye mbinguni hakupanda, utangolewa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Lakini yeye akawajibu, “Kila mmea ambao Baba yangu aliye mbinguni hakupanda, utang'olewa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Akawajibu, “Kila mmea ambao Baba yangu wa mbinguni hakuupanda utang’olewa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Akawajibu, “Kila pando ambalo Baba yangu wa mbinguni hakulipanda, litang’olewa.

Tazama sura Nakili




Mathayo 15:13
11 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo wanafunzi wake wakamwendea, wakamwambia, Wajua ya kuwa Mafarisayo walipolisikia neno lile walichukizwa?


MIMI ndimi niliye mzabibu wa kweli, na Baba yangu ni mkulima.


Kilia tawi ndani yangu lisilozaa huliondoa; na killa lizaalo hulisafisha illi lizidi kuzaa.


Mtu asipokaa ndani yangu, atupwa nje kama tawi, akauka; huyakusanya, huyatupa motoni, yakateketea.


Maana ninyi mwafanya kazi pamoja na Mungu: ninyi m shamba la Mungu, m jengo la Mungu.


Watu hawa ni miamba yenye khatari katika karamu zenu za upendo wafanyapo karamu pamoja nanyi, wakijilisha pasipo khofu; ni mawingu yasiyo na maji, yachukuliwayo na upepo; ni miti iliyopukutika, isiyo na matunda, iliyokufa marra mbili, na kungʼolewa kabisa;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo