Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 15:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Akawaita makutano akawaambia, Sikieni, mfahamu:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Yesu aliuita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni, mkaelewe!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Yesu aliuita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni, mkaelewe!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Yesu aliuita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni, mkaelewe!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Isa akaita umati wa watu waliokuwa hapo, akawaambia, “Sikilizeni na mwelewe:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Isa akaita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na mwelewe:

Tazama sura Nakili




Mathayo 15:10
13 Marejeleo ya Msalaba  

Killa alisikiae neno la ufalme asifahamu, huja yule mwovu, akaliteka lililopandwa moyoni mwake. Huyu ndiye aliyepandwa njiani.


Sicho kiingiacho kinywani kimtiacho najis mwana Adamu; bali kitokacho kinywani ndicho kimtiacho najis mwana Adamu.


Nao waniabudu ibada ya burre. Wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wana Adamu.


Bassi mlionapo chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama mahali patakatifu (asomae afahamu),


Ndipo akaamsha akili zao, wapate kuyatambua maandiko matakatifu.


Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa utukufu, awapeni roho ya hekima na ya ufunuo katika kumjua yeye:


Kwa sababu hiyo na sisi, tangu siku tuliposikia, hatuachi kuwaombeeni, na kuomba dua, mjazwe maarifa ya mapenzi yake katika hekima yote na ufahamu wa rohoni;


Lakini mtu wa kwemi akipungukiwa hekima, aombe dua kwa Mungu, awapae wote kwa ukarimu, wala hakemei; nae atapewa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo