Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 14:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Mfalme akasikitika; lakini kwa ajili ya nyapo zake, na kwa ajili ya wale walioketi chakulani pamoja nae, akaamuru apewe;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Mfalme alihuzunika, lakini kwa sababu ya kile kiapo chake na kwa sababu ya wale wageni karamuni, akaamuru apewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Mfalme alihuzunika, lakini kwa sababu ya kile kiapo chake na kwa sababu ya wale wageni karamuni, akaamuru apewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Mfalme alihuzunika, lakini kwa sababu ya kile kiapo chake na kwa sababu ya wale wageni karamuni, akaamuru apewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Mfalme alisikitika, lakini kwa sababu ya viapo alivyoapa mbele ya wageni, akaamuru kwamba apatiwe ombi lake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Mfalme akasikitika, lakini kwa sababu ya viapo alivyoapa mbele ya wageni, akaamuru kwamba apatiwe ombi lake.

Tazama sura Nakili




Mathayo 14:9
27 Marejeleo ya Msalaba  

WAKATI ule Herode tetrarka alisikia khabari za Yesu,


akatuma mtu, akamkata kichwa Yohana mle gerezani.


Na alipotaka kumwua, aliwaogopa watu, maana walimwona kuwa nabii.


Nae, akishawishwa na mama yake, akasema, Nipe hapa katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.


Mfalme Herode akasikia khabari; kwa maana jina lake limepata kutangaa, akanena, Yohana Mbatizaji amefufuka, na kwa hiyo nguvu hizi zinatenda kazi ndani yake. Wengine walinena, Yu Eliya.


Maana Herode alimwogopa Yohana: hatta akimjua kuwa ni mtu wa haki, mtakatifu, akamhami, na alipokwisha kumsikiliza alifanya mambo mengi: nae alikuwa akimsikiliza kwa furaha.


Mfalme akafanya huzuni sana, lakini kwa ajili ya nyapo zake, na kwa ajili yao walioketi karamuni, hakutaka kumkataa.


Akawaambia, Enendeni zenu, nikamwambie yule mbweha, Tazama, nafukuza pepo, nafanya kazi ya kuwaponya watu leo na kesho, nami siku ya tatu nakamilika.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo