Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 14:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Nae, akishawishwa na mama yake, akasema, Nipe hapa katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Naye, huku akichochewa na mama yake, akaomba, “Nipe papa hapa katika sinia kichwa cha Yohane Mbatizaji.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Naye, huku akichochewa na mama yake, akaomba, “Nipe papa hapa katika sinia kichwa cha Yohane Mbatizaji.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Naye, huku akichochewa na mama yake, akaomba, “Nipe papa hapa katika sinia kichwa cha Yohane Mbatizaji.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Huyo binti, akiwa amechochewa na mama yake, akasema, “Nipe kichwa cha Yahya kwenye sinia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Huyo binti, akiwa amechochewa na mama yake, akasema, “Nipe kichwa cha Yahya kwenye sinia.”

Tazama sura Nakili

Mathayo 14:8
17 Marejeleo ya Msalaba  

Kichwa chake kikaletwa katika kombe, akapewa yule kijana: akakichukua kwa mama yake.

Hatta akakiri kwa kiapo atampa lo lote atakaloliomba.

Mfalme akasikitika; lakini kwa ajili ya nyapo zake, na kwa ajili ya wale walioketi chakulani pamoja nae, akaamuru apewe;

Akatoka, akamwambia mama yake, Niombe nini? Akasema, Kichwa cha Yohana Mbatizaji.

Marra akaingia kwa haraka mbele ya mfalme akaomba akinena, Nataka unipe sasa hivi katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.

Akaenenda, akamkata kichwa mle gerezani, akaleta kichwa chake katika kombe, akampa yule kijana, yule kijana akampa mama yake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo