Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 14:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Hatta akakiri kwa kiapo atampa lo lote atakaloliomba.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 kiasi kwamba aliahidi kwa kiapo kumpa huyo binti chochote angeomba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 kiasi kwamba aliahidi kwa kiapo kumpa huyo binti chochote angeomba.

Tazama sura Nakili

Mathayo 14:7
6 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta panapo siku kuu ya kuzaliwa kwake Herode, binti Herodias alicheza kati ya watu, akampendeza Herode.

Nae, akishawishwa na mama yake, akasema, Nipe hapa katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo