Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 14:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Na alipotaka kumwua, aliwaogopa watu, maana walimwona kuwa nabii.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Herode alitaka kumuua Yohane, lakini aliogopa watu kwa sababu kwao Yohane alikuwa nabii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Herode alitaka kumuua Yohane, lakini aliogopa watu kwa sababu kwao Yohane alikuwa nabii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Herode alitaka kumuua Yohane, lakini aliogopa watu kwa sababu kwao Yohane alikuwa nabii.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Herode alitaka sana kumuua Yahya, lakini akaogopa watu, kwa maana walimtambua kuwa ni nabii.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Herode alitaka sana kumuua Yahya, lakini akaogopa watu, kwa maana walimtambua kuwa ni nabii.

Tazama sura Nakili

Mathayo 14:5
10 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini mlikwenda kuona nini? Nabii? Naam, nawaambieni, na aliye zaidi ya nabii.

Na tukisema, Kwa wana Adamu; twaogopa makutano; maana watu wote wanaona ya kuwa Yohana ni nabii.

Kwa sababu Yohana alikuja kwenu kwa njia ya haki, nanyi hamkumwamini; lakini watoza ushuru na makahaha walimwamini: nanyi mlipoona, hamkutuhu haada ya haya, na kumwamini.

Bali tukisema, Kwa wana Adamu, watu wote watatupiga mawe: kwa sababu wamesadiki ya kuwa Yohana ni nabii.

Nao walipokwisha kuwaogofya tena wakawafungua, wasione njia ya kuwaadhibu, kwa sababu ya watu: kwa kuwa watu wote walikuwa wakimtukuza Mungu kwa hayo yaliyotendeka:

Yule jemadari akaenda pamoja na watumishi, wakawaleta, lakini si kwa nguvu, kwa maana waliogopa watu wasije wakawatupia mawe.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo