Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 14:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 wakamsihi waguse hatta pindo la vazi lake; na wote waliogusa wakaponywa kabisa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 wakamwomba awaruhusu waguse tu pindo la vazi lake. Nao wote waliomgusa walipona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 wakamwomba awaruhusu waguse tu pindo la vazi lake. Nao wote waliomgusa walipona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 wakamwomba awaruhusu waguse tu pindo la vazi lake. Nao wote waliomgusa walipona.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 wakamsihi awaruhusu wagonjwa waguse tu pindo la vazi lake, nao wote waliomgusa, wakaponywa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 wakamsihi awaruhusu wagonjwa waguse tu pindo la vazi lake, nao wote waliomgusa, wakaponywa.

Tazama sura Nakili




Mathayo 14:36
15 Marejeleo ya Msalaba  

Na watu wa mahali pale walipomtambua, wakatuma watu kwenda inchi zile zote zilizo kandokando, wakamletea wote waliokuwa hawawezi;


Tena matendo yao yote huyatenda illi kutazamwa na watu: hupanua fulakteria zao, huongeza matamvna ya mavazi yao;


Maana aliponya wengi, hatta wote waliokuwa na misiba wakamrukia wapate kumgusa.


Na killa alikokwenda, akiingia vijijini, au mijini, au mashambani, wakawaweka wagonjwa sokoni, wakamsihi waguse walao upindo wa vazi lake: nao wote waliomgusa wakapona.


Wakalika Bethsaida, wakamletea kipofu, wakamsihi amguse.


Makutano yote wakatafuta kumgusa: kwa maana nguvu zilikuwa zikimtoka, zikawaponya wote.


Yote anipayo Bwana itakuja kwangu; nae ajae kwangu sitamtupa nje kamwe.


Bassi ikiwa mtu apashwa tohara siku ya sabato, torati ya Musa isije ikavunjika, mbona mnanikasirikia kwa sababu nalimfanya mtu kuwa mzima kabisa siku ya sabato?


Na kwa imani ya jina lake, jina lake limemtia nguvu mtu huyu mnaemwona na kumjua: na imani ile iliyo kwa njia yake yeye imempatia huyu mbele yemi ninyi nyote uzima huu mkamilifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo