Mathayo 14:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192135 Na watu wa mahali pale walipomtambua, wakatuma watu kwenda inchi zile zote zilizo kandokando, wakamletea wote waliokuwa hawawezi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Watu wa huko walipomtambua, wakaeneza habari pote katika sehemu hizo. Basi, wakamletea Yesu wagonjwa wote, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Watu wa huko walipomtambua, wakaeneza habari pote katika sehemu hizo. Basi, wakamletea Yesu wagonjwa wote, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Watu wa huko walipomtambua, wakaeneza habari pote katika sehemu hizo. Basi, wakamletea Yesu wagonjwa wote, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Watu wa eneo lile walipomtambua Isa, walipeleka habari sehemu zote za jirani. Watu wakamletea wagonjwa wao wote, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Watu wa eneo lile walipomtambua Isa, walipeleka habari sehemu zote za jirani. Watu wakamletea wagonjwa wao wote, Tazama sura |