Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 14:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Marra Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Hapo, Yesu akaunyosha mkono wake, akamshika na kumwambia, “Ewe mwenye imani haba! Kwa nini uliona shaka?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Hapo, Yesu akaunyosha mkono wake, akamshika na kumwambia, “Ewe mwenye imani haba! Kwa nini uliona shaka?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Hapo, Yesu akaunyosha mkono wake, akamshika na kumwambia, “Ewe mwenye imani haba! Kwa nini uliona shaka?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Mara Isa akaunyoosha mkono wake na kumshika, akamwambia, “Wewe mwenye imani haba, kwa nini uliona shaka?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Mara Isa akaunyoosha mkono wake na kumshika, akamwambia, “Wewe mwenye imani haba, kwa nini uliona shaka?”

Tazama sura Nakili




Mathayo 14:31
23 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini alipoona upepo wa nguvu, akaogopa: akaanza kuzama, akapiga yowe, akinena, Bwana, niokoe.


Walipopanda chomboni, upepo ukakoma.


Yesu akajua, akawaambia, Mbona mnabishana ninyi kwa ninyi, enyi wa imani haba, kwa sababu hamkuchukua mikate?


Yesu akawaambia, Kwa sababu ya kutokuamini kwenu. Kwa maana, amin, nawaambieni, Mkiwa na imani kama punje ya kharadali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa hatta kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu.


Lakini Mungu akiyavika hivi majani ya mashamba, yaliyopo leo, na kesho hutupwa kalibuni, je, hatazidi sana kuwavika ninyi, enyi wa imani haba?


Akawaambia, Mbona mu waoga, enyi wa imani haba? Marra akaondoka, akazikemea pepo na bahari; kukawa shwari kuu.


marra wakamwambia khahari zake: akamkaribia, akamwinua kwa kumshika mkono, homa ikamwacha, akawakhudumia.


Yesu akamhurumia, akanyosha mkono wake, akamgusa, akamwambia, Nataka, takasika.


Amin, nawaambieni, Ye yote atakaenambia mlima huu, Ngʼoka ukatupwe baharini, asione shaka moyoni mwake, bali aamini kwamba hayo asemayo yamekuwa, yatamtukia hayohayo aliyosema.


Lakini enendeni zenu, mkawaambie wanafunzi wake, na Petro, ya kwamba awatangulia kwenda Galilaya: huko mtamwona, kama alivyowaambia.


Akawaambia, Mbona mu waoga? Hamna imani bado?


Akamshika mkono yule kijana, akamwambla, Talitha, kumi: tafsiri yake, Kijana, nakuambia, Ondoka.


wakisema, Hakika Bwana amefufuka, amemtokea Simon.


ukinyosha mkono wako kuponya: ishara na maajabu zifanyike kwa jina la mtumishi wako mtakatifu Yesu.


Bassi nataka wanaume waombe killa mahali, wakimua mikono mitakatifu, pasipo hasira na majadiliano.


mnaolindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya imani mpate wokofu ulio tayari kufunuliwa wakati wa mwisho.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo