Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 14:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Lakini alipoona upepo wa nguvu, akaogopa: akaanza kuzama, akapiga yowe, akinena, Bwana, niokoe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Lakini alipouona ule upepo, aliogopa, akaanza kuzama; akalia kwa sauti, “Bwana, niokoe!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Lakini alipouona ule upepo, aliogopa, akaanza kuzama; akalia kwa sauti, “Bwana, niokoe!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Lakini alipouona ule upepo, aliogopa, akaanza kuzama; akalia kwa sauti, “Bwana, niokoe!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Lakini alipoona upepo mkali aliingiwa na hofu, naye akaanza kuzama, akapaza sauti na kusema, “Bwana, niokoe!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Lakini alipoona upepo mkali aliingiwa na hofu, naye akaanza kuzama, huku akipiga kelele, “Bwana Isa, niokoe!”

Tazama sura Nakili




Mathayo 14:30
17 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema, Njoo. Petro akashuka chomboni, akatembea juu ya maji, illi kumwendea Yesu.


Marra Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka?


Kesheni, kasalini, msipate kuingia majaribuni: roho ina nia njema, hali mwili dhaifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo