Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 14:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Wanafunzi walipomwona akitembea juu ya bahari, wakafadhaika, wakinena. Ni kivuli; wakapiga yowe kwa khofu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Wanafunzi wake walipomwona akitembea juu ya maji waliogopa sana, wakasema, “Ni mzimu!” Wakapiga yowe kwa hofu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Wanafunzi wake walipomwona akitembea juu ya maji waliogopa sana, wakasema, “Ni mzimu!” Wakapiga yowe kwa hofu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Wanafunzi wake walipomwona akitembea juu ya maji waliogopa sana, wakasema, “Ni mzimu!” Wakapiga yowe kwa hofu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Wanafunzi wake walipomwona akitembea juu ya maji, waliingiwa na hofu kuu, wakasema, “Ni mzimu.” Wakapiga yowe kwa kuogopa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Wanafunzi wake walipomwona akitembea juu ya maji, waliingiwa na hofu kuu, wakasema, “Ni mzimu.” Wakapiga yowe kwa kuogopa.

Tazama sura Nakili

Mathayo 14:26
11 Marejeleo ya Msalaba  

wasioukuta mwili wake, wakaja, wakasema ya kwamba wametokewa na malaika, waliowaambia yu hayi.

Wakafadhaika, wakaingiwa na khofu, wakidhani ya kuwa wanaona pepo.

Ndipo akaamsha akili zao, wapate kuyatambua maandiko matakatifu.

Nao wakiingiwa na khofu na kuinama kifudifudi hatta inchi, wakawaambia, Kwa nini mnamtafuta aliye hayi katika wafu? Hayupo hapa, bali amefufuka.

Wakamwambia, Una wazimu. Lakini yeye akakaza sana, akasema ya kwamba ndivyo bivyo.

Na nilipomwona nalianguka miguuni pake kama mtu aliyekufa. Akaweka mkono wake wa kuume juu yangu, akiniambia, Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo