Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 14:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Hatta zamu ya nne ya usiku Yesu akawaendea, akitembea juu ya bahari.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Usiku, karibu na mapambazuko, Yesu aliwaendea wanafunzi akitembea juu ya maji.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Usiku, karibu na mapambazuko, Yesu aliwaendea wanafunzi akitembea juu ya maji.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Usiku, karibu na mapambazuko, Yesu aliwaendea wanafunzi akitembea juu ya maji.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Wakati wa zamu ya nne ya usiku, Isa akawaendea wanafunzi wake akiwa anatembea juu ya maji.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Wakati wa zamu ya nne ya usiku, Isa akawaendea wanafunzi wake akiwa anatembea juu ya maji.

Tazama sura Nakili




Mathayo 14:25
11 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini fahamuni neno hili; kama mwenye nyumba angalijua ile zamu mwivi atakayokuja, angalikesha, wala asingaliacha nyumba yake kuvunjwa.


Kesheni bassi, kwa maana hamjui ajapo bwana wa nyumba, kwamba ni jioni, au usiku wa manane, au awikapo jogoo, an assubuhi:


Akawaona wakitaahika kwa kuvuta makasia, kwa maana upepo ulikuwa wa mbisho; hatta yapata zamu ya nne ya usiku akawaendea akitemhea juu ya bahari; akataka kuwdpita.


Na akija kesha la pili au akija kesha la tatu, na kuwakuta hivi, wa kheri watumishi wale.


Bassi wakavuta makasia kadiri ya stadio ishirini na tano au thelathini, wakamwona Yesu anakwenda juu ya bahari, anakikaribia chombo: wakaogopa.


Na katika mkono wake alikuwa na kitabu kidogo kimefunuliwa. Akaweka mguu wake wa kuume juu ya bahari, na wa kushoto juu ya inchi,


Na yule malaika niliyemwona akisimama juu ya bahari na juu ya inchi akainua mkono wake kuelekea mbinguni,


Na sauti ile niliyoisikia kutoka mbinguni ilinena nami tena, ikisema, Enenda, kitwae kile kitabu kidogo kilichofunuliwa katika mkono wa yule malaika aliyesimama juu ya bahari na juu ya inchi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo