Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 14:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Na kile chombo kimekwisha kufika katikati ya bahari, kinataabika sana na mawimbi; maana upepo ulikuwa wa mbisho.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 na wakati huo ile mashua ilikwisha fika karibu katikati ya ziwa, lakini ilikumbwa na taabu kwa sababu upepo ulikuwa unaipinga.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 na wakati huo ile mashua ilikwisha fika karibu katikati ya ziwa, lakini ilikumbwa na taabu kwa sababu upepo ulikuwa unaipinga.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 na wakati huo ile mashua ilikwisha fika karibu katikati ya ziwa, lakini ilikumbwa na taabu kwa sababu upepo ulikuwa unaipinga.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Wakati huo ile mashua ilikuwa mbali kutoka nchi kavu ikisukwasukwa na mawimbi, kwa sababu upepo ulikuwa wa mbisho.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Wakati huo ile mashua ilikuwa mbali kutoka nchi kavu ikisukwasukwa na mawimbi, kwa sababu upepo ulikuwa wa mbisho.

Tazama sura Nakili

Mathayo 14:24
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kukawa msukosuko mkuu baharini, hatta chombo kikafunikizwa na mawimbi: nae alikuwa amelala.

Akawaona wakitaahika kwa kuvuta makasia, kwa maana upepo ulikuwa wa mbisho; hatta yapata zamu ya nne ya usiku akawaendea akitemhea juu ya bahari; akataka kuwdpita.

Bahari ikaanza kuchafuka, upepo mwingi ukivuma.

Maana alikuwa mtu mwema, amejaa Roho Mtakatifu na imani: watu wengi wakajitia upande wa Bwana.

Kutoka huko tukatweka, tukasafiri chini ya Kupro illi kuukinga upepo, kwa maana pepo zilikuwa za mbisho,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo