Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 14:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Alipokwisha kuwaaga makutano, akapanda mlimani kwa faragha, kwenda kusali. Na ilipokuwa jioni, alikuwako huko peke yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Baada ya kuwaaga watu, alipanda mlimani peke yake kusali. Ilipokuwa jioni, yeye alikuwa huko peke yake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Baada ya kuwaaga watu, alipanda mlimani peke yake kusali. Ilipokuwa jioni, yeye alikuwa huko peke yake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Baada ya kuwaaga watu, alipanda mlimani peke yake kusali. Ilipokuwa jioni, yeye alikuwa huko peke yake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Baada ya kuwaaga, akaenda zake mlimani peke yake kuomba. Jioni ilipofika, Isa alikuwa huko peke yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Baada ya kuwaaga, akaenda zake mlimani peke yake kuomba. Jioni ilipofika, Isa alikuwa huko peke yake.

Tazama sura Nakili




Mathayo 14:23
11 Marejeleo ya Msalaba  

Kiisha Yesu akaenda pamoja nao hatta kiwanja kiitwacho Gethsemane, akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa, hatta niende kule nikasali.


Bali wewe usalipo, ingia chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele ya Baba yako aliye kwa siri: na Baba yako aonae kwa siri atakujazi kwa dhahiri.


Hatta alfajiri na mapema sana, akaondoka, akatoka akaenda zake mahali pasipo watu akasali huko.


Hatta alipokwisha kuagana nao akaenda zake mlimani kusali.


Na watu wote walipokwisha kubatizwa, na Yesu nae akiisha kubatizwa, na akisali, mbingu zilifunuka.


Lakini yeye alikuwa akijitenga jangwani na kusali.


Ikawa katika siku zile akaomloka akaenda mlimani kuomba, akashinda usiku kucha, akimwomba Mungu.


Ikawra alipokuwa akisali peke yake wanafunzi wake walikuwa pamoja nae: akawanliza, akisema, Makutano huninena mimi kuwa nani?


Hatta baada ya maneno haya, panapo siku nane, akamchukua Petro na Yohana na Yakobo, akapanda mlimani kusali.


na sisi tutadumu katika kumwomba Mungu na kulikhudumia Neno lake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo