Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 14:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Marra Yesu akawalazimisha wamifunzi wake wapande chomboni na kutangulia mbele yake kwenda ngʼambu, wakati yeye alipokuwa akiwaaga makutano.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Mara, Yesu akawaamuru wanafunzi wake wapande mashua, wamtangulie ngambo ya ziwa wakati yeye anayaaga makundi ya watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Mara, Yesu akawaamuru wanafunzi wake wapande mashua, wamtangulie ngambo ya ziwa wakati yeye anayaaga makundi ya watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Mara, Yesu akawaamuru wanafunzi wake wapande mashua, wamtangulie ng'ambo ya ziwa wakati yeye anayaaga makundi ya watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Mara Isa akawaambia wanafunzi wake waingie katika mashua wamtangulie kwenda ng’ambo ya bahari, wakati yeye alikuwa akiaga ule umati.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Mara Isa akawaambia wanafunzi wake waingie kwenye mashua watangulie kwenda ng’ambo ya bahari, wakati yeye alikuwa akiwaaga wale makutano.

Tazama sura Nakili




Mathayo 14:22
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha Yesu akawaacha makutano, akaingia nyumbani: wanafunzi wake wakamwendea, wakinena, Tufafanulie mfano wa magugu ya konde.


Nao waliokula walikuwa wanaume wapata elfu tano, bila wanawake na watoto.


Akawaaga makutano, akapanda chomboni, akaenda pande za Magdala.


Hatta Sila na Timotheo walipotelemka kutoka Makedonia, Paolo akashurutishwa rohoni mwake, akiwashuhudia Wayahudi ya kwamba Yesu ni Kristo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo