Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 14:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Nao waliokula walikuwa wanaume wapata elfu tano, bila wanawake na watoto.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Jumla ya waliokula ilikuwa wanaume wapatao 5,000, bila kuhesabu wanawake na watoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Jumla ya waliokula ilikuwa wanaume wapatao 5,000, bila kuhesabu wanawake na watoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Jumla ya waliokula ilikuwa wanaume wapatao 5,000, bila kuhesabu wanawake na watoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Idadi ya watu waliokula walikuwa wanaume wapatao elfu tano, bila kuhesabu wanawake na watoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Idadi ya watu waliokula walikuwa wanaume wapatao 5,000, bila kuhesabu wanawake na watoto.

Tazama sura Nakili




Mathayo 14:21
8 Marejeleo ya Msalaba  

Wakala wote wakashiba: wakayaokota masazo ya vipande vya mikate, vikapu thenashara, vimejaa.


Marra Yesu akawalazimisha wamifunzi wake wapande chomboni na kutangulia mbele yake kwenda ngʼambu, wakati yeye alipokuwa akiwaaga makutano.


Na wanaume walioila ile mikate wapata elfu tano.


Yesu akasema, Waketisheni watu. Palikuwako majani tele mahali pale. Bassi watu waume wakaketi, jumla yao wapata elfu tano.


Wala hapakuwa na mtu mmoja miongoni mwao mwenye mahitaji; kwa sababu watu wote waliokuwa na uwanja au nyumba waliviuza, wakaileta thamani ya vitu vile vilivyouzwa


Lakini wengi katika hao waliosikia lile neno waliamini: na hesabu ya watu ilikuwa kama elfu tano.


Na Mungu atawajazeni killa mnachokihitaji kwa kadiri ya utajiri wake, katika utukufu, ndani ya Kristo Yesu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo