Mathayo 14:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192120 Wakala wote wakashiba: wakayaokota masazo ya vipande vya mikate, vikapu thenashara, vimejaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Watu wote wakala, wakashiba. Kisha wanafunzi wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Watu wote wakala, wakashiba. Kisha wanafunzi wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Watu wote wakala, wakashiba. Kisha wanafunzi wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Wote wakala, wakashiba. Nao wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Wote wakala, wakashiba. Nao wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama sura |