Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 14:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 akawaambia watumishi wake, Huyu ndiye Yohana Mbatizaji; amefufuka katika wafu; na kwa sababu hii nguvu hizo zinatenda kazi ndani yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Basi, akawaambia watumishi wake, “Mtu huyu ni Yohane Mbatizaji, amefufuka kutoka kwa wafu; ndiyo maana nguvu za miujiza zinafanya kazi ndani yake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Basi, akawaambia watumishi wake, “Mtu huyu ni Yohane Mbatizaji, amefufuka kutoka kwa wafu; ndiyo maana nguvu za miujiza zinafanya kazi ndani yake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Basi, akawaambia watumishi wake, “Mtu huyu ni Yohane Mbatizaji, amefufuka kutoka kwa wafu; ndiyo maana nguvu za miujiza zinafanya kazi ndani yake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 akawaambia watumishi wake, “Huyu ni Yahya; amefufuka kutoka kwa wafu! Hii ndiyo sababu nguvu za kutenda miujiza zinafanya kazi ndani yake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 akawaambia watumishi wake, “Huyu ni Yahya; amefufuka kutoka kwa wafu! Hii ndiyo sababu nguvu za kutenda miujiza zinafanya kazi ndani yake.”

Tazama sura Nakili

Mathayo 14:2
7 Marejeleo ya Msalaba  

Amin, nawaambieni, Hajaondokea mtu katika wazao wa wanawake aliye mkuu kuliko Yohana Mbatizaji: illakini aliye mdogo katika ufalme wa mbinguni ni mkuu kuliko yeye.

Wakasema, Wengine Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.

SIKU zile akaondokea Yohana Mbatizaji akikhubiri katika jangwa ya Yahudi, akinena,

Mfalme Herode akasikia khabari; kwa maana jina lake limepata kutangaa, akanena, Yohana Mbatizaji amefufuka, na kwa hiyo nguvu hizi zinatenda kazi ndani yake. Wengine walinena, Yu Eliya.

Wakamjibu, Yohana Mbatizaji; wengine Eliya; wengine mmojawapo wa manabii.

Hatta Herode tetrarka akasikia yote yaliyotendwa nae, akaona mashaka, kwa kuwa wengine walisema kwamba Yohana amefufuka katika wafu:

Yohana hakufanya ishara yo yote, lakini yote aliyosema Yohana katika khabari zake huyu yalikuwa kweli.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo