Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 14:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Wakamwambia, Hatuna kitu hapa illa mikate mitano na samaki mbili.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Lakini wao wakamwambia, “Tunayo mikate mitano tu na samaki wawili.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Lakini wao wakamwambia, “Tunayo mikate mitano tu na samaki wawili.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Lakini wao wakamwambia, “Tunayo mikate mitano tu na samaki wawili.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Wakamjibu, “Tuna mikate mitano na samaki wawili tu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Wakamjibu, “Tuna mikate mitano na samaki wawili tu.”

Tazama sura Nakili

Mathayo 14:17
10 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawaambia, Hawana haja kwenda zao, wapeni ninyi kula.

Akasema, Nileteeni vitu vile hapa.

Hamjafahamu hado, wala hamkumbuki ile mikate mitano kwa wale elfu tano, na vikapu vingapi mlivyookota?

Akawaambia, Wapeni ninyi chakula. Wakasema, Hatuna kitu zaidi ya mikate mitano na samaki mbili, tusipokwenda sisi wenyewe tukawannnulie vyakula watu hawa wote.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo