Mathayo 14:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192116 Yesu akawaambia, Hawana haja kwenda zao, wapeni ninyi kula. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Yesu akawaambia, “Si lazima waende, wapeni nyinyi chakula.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Yesu akawaambia, “Si lazima waende, wapeni nyinyi chakula.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Yesu akawaambia, “Si lazima waende, wapeni nyinyi chakula.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Isa akawaambia, “Hakuna sababu ya wao kuondoka. Ninyi wapeni chakula.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Isa akawaambia, “Hakuna sababu ya wao kuondoka. Ninyi wapeni chakula.” Tazama sura |