Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 14:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Yesu akatoka, akaona makutano mengi, akawahurumia, akawaponya wagonjwa wao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Basi, aliposhuka pwani, aliona umati mkubwa wa watu, akawaonea huruma, akawaponya wagonjwa wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Basi, aliposhuka pwani, aliona umati mkubwa wa watu, akawaonea huruma, akawaponya wagonjwa wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Basi, aliposhuka pwani, aliona umati mkubwa wa watu, akawaonea huruma, akawaponya wagonjwa wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Isa alipofika kando ya bahari, aliona makundi makubwa ya watu, akawahurumia na akawaponya wagonjwa wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Isa alipofika kando ya bahari, aliona makutano makubwa ya watu, akawahurumia na akawaponya wagonjwa wao.

Tazama sura Nakili




Mathayo 14:14
13 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta ilipokuwa jioni, wanafunzi wake wakamwendea, wakanena, Mahali hapa nyika tupu, na saa imekwisha pita; waage makutano, waende zao vijijini, wakajinunulie vyakula.


Yesu akazunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika sunagogi zao, na kuikhubiri injili ya ufalme, na kuponya ugonjwa na udhaifu wa killi namna katika watu.


Na alipowaona makutano, akawahurumia, kwa maana walikuwa wamechoka na kutawanyika kama kondoo wasio na mchunga.


Yesu aliposhuka chomboni, akaona makutano mengi, akawahurumia, kwa sababu walikuwa kana kondoo wasio mchunga; akaanza kuwafundisha mengi.


Na marra nyingi amemtupa katika moto, na katika maji, amwangamize; lakini ukiweza neno, utuhurumie, utusaidie.


Nae alipokaribia akauona mji, akaulilia,


Na Bwana alipomwona, akamhurumia, akamwambia, Usilie.


Kwa hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, illi afanye suluhu kwa dhambi za watu wake.


Kwa kuwa hatuna kuhani mkuu asiyeweza kuyachukua mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijuribiwa sawa sawa na sisi katika mambo yote, bila dhambi.


awezae kuwachukulia wao wasiojua na wenye kupotea, kwa kuwa yeye mwenyewe yu katika liali ya udhaifu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo