Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 14:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Yesu aliposikia, akatoka huku katika chombo, akaenda mahali pasipo watu, kwa faragha. Na makutano waliposikia, wakamfuata kwa miguu toka miji yao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Yesu alipopata habari hiyo, aliondoka mahali pale kwa mashua, akaenda mahali pa faragha peke yake. Lakini watu walipata habari, wakamfuata kwa miguu toka mijini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Yesu alipopata habari hiyo, aliondoka mahali pale kwa mashua, akaenda mahali pa faragha peke yake. Lakini watu walipata habari, wakamfuata kwa miguu toka mijini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Yesu alipopata habari hiyo, aliondoka mahali pale kwa mashua, akaenda mahali pa faragha peke yake. Lakini watu walipata habari, wakamfuata kwa miguu toka mijini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Isa aliposikia yaliyokuwa yametukia, aliondoka kwa chombo akaenda mahali pasipo na watu ili awe peke yake. Lakini watu walipopata habari, wakamfuata kwa miguu kupitia nchi kavu kutoka miji.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Isa aliposikia yaliyokuwa yametukia, aliondoka kwa chombo akaenda mahali pasipo na watu ili awe peke yake. Lakini watu walipopata habari, wakamfuata kwa miguu kupitia nchi kavu kutoka miji.

Tazama sura Nakili

Mathayo 14:13
10 Marejeleo ya Msalaba  

Watakapowaudhi katika mji huu, kimbilieni mwingine: kwa maana ni kweli nawaambieni, Hamtaimaliza miji yote ya Israeli, hatta ajapo Mwana wa Adamu.

Nae Yesu akijua haya akatoka huko: makutano mengi wakamfuata; akawaponya wote,

Wanafunzi wake wakaenda, wakauchukua mwili wake, wakauzika; wakaenda wakampasha Yesu khabari.

Hatta alfajiri na mapema sana, akaondoka, akatoka akaenda zake mahali pasipo watu akasali huko.

Hatta ulipokuwa mchana akatoka akaenda mahali pasipokuwa na watu: makutano wakamtafutatafuta, wakamfikilia, wakataka kumzuia asiondoke kwao.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo