Mathayo 14:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 Wanafunzi wake wakaenda, wakauchukua mwili wake, wakauzika; wakaenda wakampasha Yesu khabari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Wanafunzi wa Yohane wakaja, wakauchukua mwili wake, wakauzika. Kisha wakaenda kumpasha habari Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Wanafunzi wa Yohane wakaja, wakauchukua mwili wake, wakauzika. Kisha wakaenda kumpasha habari Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Wanafunzi wa Yohane wakaja, wakauchukua mwili wake, wakauzika. Kisha wakaenda kumpasha habari Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Wanafunzi wa Yahya wakaja na kuuchukua mwili wake, wakamzika. Kisha wakaenda wakamwambia Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Wanafunzi wa Yahya wakaja na kuuchukua mwili wake kwenda kuuzika. Kisha wakaenda wakamwambia Isa. Tazama sura |