Mathayo 14:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192111 Kichwa chake kikaletwa katika kombe, akapewa yule kijana: akakichukua kwa mama yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kichwa chake kikaletwa katika sinia, wakampa yule msichana, naye akampelekea mama yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kichwa chake kikaletwa katika sinia, wakampa yule msichana, naye akampelekea mama yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kichwa chake kikaletwa katika sinia, wakampa yule msichana, naye akampelekea mama yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kichwa chake kikaletwa kwenye sinia, akapewa yule binti, naye akampelekea mama yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kichwa chake kikaletwa kwenye sinia, akapewa yule binti, naye akampelekea mama yake. Tazama sura |