Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 13:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 nyingine zikaanguka penye udongo mwema, zikazaa, hizi mia, hizi sittini, hizi thelathini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Nyingine zilianguka penye udongo mzuri, zikaota, zikazaa: Nyingine punje mia, nyingine sitini na nyingine thelathini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Nyingine zilianguka penye udongo mzuri, zikaota, zikazaa: Nyingine punje mia, nyingine sitini na nyingine thelathini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Nyingine zilianguka penye udongo mzuri, zikaota, zikazaa: nyingine punje mia, nyingine sitini na nyingine thelathini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Mbegu nyingine zilianguka kwenye udongo mzuri ambapo zilitoa mazao, nyingine mara mia moja, nyingine mara sitini, na nyingine mara thelathini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Mbegu nyingine zilianguka kwenye udongo mzuri ambapo zilitoa mazao, nyingine mara mia moja, nyingine mara sitini, na nyingine mara thelathini.

Tazama sura Nakili




Mathayo 13:8
11 Marejeleo ya Msalaba  

Nae aliyepandwa penye udongo mwema, huyu ndive alisikiae lile neno, na kulifahamu; yeye ndiye azaae matunda, huyu mia, na huyu sittini, na huyu thelathini.


Nyingine zikaanguka penye miiba; miiba ikamea, ikazisonga:


Na hawa ndio waliopandwa panapo udongo mzuri; ni watu walisikiao lile neno na kulipokea, na kuzaa matunda, moja thelathini, moja sittini, na moja mia.


Nyingine zikaanguka panapo udongo ulio mzuri, zikazaa matunda, zikimea na kukua, na kuzaa, moja thelathini, moja sittini, na moja mia.


Nazo penye udongo mwema, hawa ndio ambao kwamba kwa moyo mzuri na mwema hulisikia neno, wakalishika, wakazaa kwa saburi.


Nyingine zikaanguka penye udongo mwema, zikamea, zikazaa mia mia. Alipokuwa akinena haya, akapaaza sauti yake, akisema, Mwenye masikio ya kusikilia, na asikie.


Kwa hiyo atukuzwa Baba yangu, mzae sana; nanyi mtakuwa wanafunzi wangu.


Kwa maana najua ya kuwa ndani yangu, yaani ndani ya mwili wangu, halikai neno jema: kwa kuwa kutaka ni katika uwezo wangu, bali kutenda lililo jema sipati.


mmejazwa matuuda ya haki, kwa njia ya Yesu Kristo, kwa utukufu na sifa ya Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo