Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 13:57 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

57 Wakachukizwa nae. Yesu akawaambia, Nabii hakosi heshima, isipokuwa katika inchi yake mwenyewe, na nyumbani mwake mwenyewe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

57 Basi, wakawa na mashaka naye. Lakini Yesu akawaambia, “Nabii hakosi kuheshimiwa, isipokuwa katika nchi yake na nyumbani mwake!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

57 Basi, wakawa na mashaka naye. Lakini Yesu akawaambia, “Nabii hakosi kuheshimiwa, isipokuwa katika nchi yake na nyumbani mwake!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

57 Basi, wakawa na mashaka naye. Lakini Yesu akawaambia, “Nabii hakosi kuheshimiwa, isipokuwa katika nchi yake na nyumbani mwake!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

57 Wakachukizwa naye. Lakini Isa akawaambia, “Nabii hakosi heshima, isipokuwa katika nchi yake na nyumbani mwake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

57 Wakachukizwa naye. Lakini Isa akawaambia, “Nabii hakosi heshima, isipokuwa katika nchi yake na nyumbani kwake.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 13:57
19 Marejeleo ya Msalaba  

Na yu kheri ye yote asiyechukiwa nami.


Wala hakufanya miujiza mingi huko, kwa sababu ya kutokuamini kwao.


AKATOKA huko, akafika hatta inchi ya kwao: wanafunzi wake wakamfuata.


Mfalme Herode akasikia khabari; kwa maana jina lake limepata kutangaa, akanena, Yohana Mbatizaji amefufuka, na kwa hiyo nguvu hizi zinatenda kazi ndani yake. Wengine walinena, Yu Eliya.


Huyu si yule sermala, mwana wa Mariamu, na ndugu wii Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simon? na ndugu zake wanawake hawapo hapa petu? Wakachukizwa nae.


Yesu akawaambia, Nabii hakosi heshima, illa katika inchi yake, na kwa jamaa zake, na katika nyumba yake.


Akawaambia, Amin, nawaambieni, Hapana nabii apatae kukubaliwa katika inchi yake mwenyewe.


na yu kheri ye yote asiyechukizwa nami.


Kwa maana Yesu mwenyewe alishuhudu ya kwamba nabii hana heshima katika inchi yake mwenyewe.


Wakanena, Huyu siye Yesu, mwana wa Yusuf, ambae twamjua baba yake na mama yake? Bassi, anenaje huyu, Nimeshuka kutoka mbinguni?


Yesu akajua nafsini mwake ya kuwa wanafunzi wake wanaliumigʼunikia neno hili, akawaambia, Neno hili linawachukiza?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo