Mathayo 13:56 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192156 na maumbu yake, wote hawako kwetu? Bassi huyu amepata wapi haya yote? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema56 Na dada zake je, si wote wako hapa pamoja nasi? Basi, amepata wapi haya yote?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND56 Na dada zake je, si wote wako hapa pamoja nasi? Basi, amepata wapi haya yote?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza56 Na dada zake je, si wote wako hapa pamoja nasi? Basi, amepata wapi haya yote?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu56 Nao dada zake wote, hawako hapa pamoja nasi? Mtu huyu amepata wapi basi mambo haya yote?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu56 Nao dada zake wote, hawako hapa pamoja nasi? Mtu huyu amepata wapi basi mambo haya yote?” Tazama sura |