Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 13:54 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

54 Na alipofika inchi yake, akawafundisha katika sunagogi yao, hatta wakashangaa, wakanena, Huyu amepata wapi hekima hii na miujiza hii?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

54 akaenda kijijini kwake. Huko akawa anawafundisha watu katika sunagogi lao hata wakashangaa, wakasema, “Huyu amepata wapi hekima hii na maajabu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

54 akaenda kijijini kwake. Huko akawa anawafundisha watu katika sunagogi lao hata wakashangaa, wakasema, “Huyu amepata wapi hekima hii na maajabu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

54 akaenda kijijini kwake. Huko akawa anawafundisha watu katika sunagogi lao hata wakashangaa, wakasema, “Huyu amepata wapi hekima hii na maajabu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

54 Alipofika mji wa kwao, akawafundisha watu katika sinagogi lao. Nao wakastaajabu, wakauliza, “Mtu huyu amepata wapi hekima hii na uwezo huu wa kufanya miujiza?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

54 Alipofika mji wa kwao, akawafundisha watu katika sinagogi lao. Nao wakastaajabu, wakauliza, “Mtu huyu amepata wapi hekima hii na uwezo huu wa kufanya miujiza?”

Tazama sura Nakili




Mathayo 13:54
14 Marejeleo ya Msalaba  

akaenda, akakaa mji uliokwitwa Nazareti: illi litimie neno lililonenwa na manabii, Atakwitwa Mnazorayo.


Yesu akazunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika sunagogi zao, na kuikhubiri injili ya ufalme, na kuponya ugonjwa na udhaifu wa killi namna katika watu.


Ikawa, Yesu alipomaliza maneno haya, makutano wakashangaa kwa mafundisho yake:


Wote waliomsikia wakataajahu kwa akili zake na majibu yake.


Alikuja kwake, nao walio wake hawakumpokea.


Paolo na Barnaba wakanena kwa uthabiti wakasema, Ilikuwa lazima neno la Mungu linenwe kwenu kwanza: illakini kwa kuwa mnalisukumia mbali, wala hamjioni nafsi zenu kuwa mmestahili uzima wa milele, angalieni, twawageukia mataifa.


Bassi walipoona ujasiri wa Petro na Yohana, na kujua ya kuwa ni watu wasio elimu, wasio maarifa, wakastaajabu, wakawatambua ya kwamba walikuwa pamoja na Yesu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo