Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 13:53 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

53 Ikawa Yesu alipomaliza mifano hii, akatoka, akaenda zake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

53 Yesu alipomaliza kusema mifano hiyo alitoka mahali hapo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

53 Yesu alipomaliza kusema mifano hiyo alitoka mahali hapo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

53 Yesu alipomaliza kusema mifano hiyo alitoka mahali hapo,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

53 Isa alipomaliza kutoa mifano hii, akaondoka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

53 Isa alipomaliza kutoa mifano hii, akaondoka.

Tazama sura Nakili




Mathayo 13:53
4 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema nao mengi kwa mifano, akinena, Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu.


Akawaambia, Kwa sababu hii, killa mwandishi mwenye elimu ya ufalme wa mbinguni amefanana na mtu mwenye nyumba atoae katika hazina yake vitu vipya na vya kale.


Ikawa, Yesu alipomaliza maneno haya, makutano wakashangaa kwa mafundisho yake:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo