Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 13:51 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

51 Yesu aliwaambia, Mmeyafahamu haya yote? Wakamwambia, Naam, Bwana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

51 Yesu akawauliza, “Je, mmeelewa mambo haya yote?” Wakamjibu, “Naam.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

51 Yesu akawauliza, “Je, mmeelewa mambo haya yote?” Wakamjibu, “Naam.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

51 Yesu akawauliza, “Je, mmeelewa mambo haya yote?” Wakamjibu, “Naam.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

51 Isa akauliza, “Je, mmeyaelewa haya yote?” Wakamjibu, “Ndiyo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

51 Isa akauliza, “Je, mmeyaelewa haya yote?” Wakamjibu, “Ndiyo.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 13:51
13 Marejeleo ya Msalaba  

Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wale hawakujaliwa.


Killa alisikiae neno la ufalme asifahamu, huja yule mwovu, akaliteka lililopandwa moyoni mwake. Huyu ndiye aliyepandwa njiani.


na kuwatupa katika tanuru ya moto; ndiko kutakuwa kilio na kusaga meno.


Akawaambia, Kwa sababu hii, killa mwandishi mwenye elimu ya ufalme wa mbinguni amefanana na mtu mwenye nyumba atoae katika hazina yake vitu vipya na vya kale.


Hamjafahamu bado ya kuwa killa kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni?


Imekuwaje hamkufahamu ya kuwa si kwa sababu ya mkate naliwaambieni, jihadharini na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo?


Bassi mlionapo chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama mahali patakatifu (asomae afahamu),


wala pasipo mfano hakusema nao: akawaeleza wanafunzi wake mambo yote kwa faragha.


Akawaambia, Hivi na ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kuwa killa kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia najis;


Twajua kwamba Mwana wa Mungu amekwisha kuja, nae ametupa akili illi tumjue yeye aliye wa kweli, nasi tumo ndani yake yeye aliye wa kweli, ndani ya Mwana wake Yesu Kristo. Huyu ndiye aliye Mungu wa kweli na uzima wa milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo