Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 13:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 nyingine zikaanguka penye miamba, pasipokuwa udongo mwingi: marra zikaota, kwa kuwa na udongo haba;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi. Zikaota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi. Zikaota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi. Zikaota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Nyingine zilianguka kwenye ardhi yenye mwamba isiyo na udongo wa kutosha. Zikaota haraka, kwa kuwa udongo ulikuwa haba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Nyingine zilianguka kwenye ardhi yenye mwamba isiyo na udongo wa kutosha. Zikaota haraka, kwa kuwa udongo ulikuwa haba.

Tazama sura Nakili

Mathayo 13:5
9 Marejeleo ya Msalaba  

Nae aliyepandwa penye miamba, huyu ndiye alisikiae lile neno, akalipokea marra kwa furaha;

Hatta alipokuwa akipanda, nyingine zikaanguka njiani, ndege wakaja wakazila:

na jua lilipozuka zikanyauka; na kwa kuwa hazina mizizi zikakauka.

Kadhalika na hawa ndio wapandwao penye mwamba, ambao kwamba wakiisha kulisikia lile neno, marra hulipokea kwa furaha;

Nyingine zikaanguka penye mwamba, pasipokuwa na udongo mwingi; marra zikamea kwa kuwa na udongo haba;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo