Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 13:49 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

49 Ndivyo itakavyokuwa katika mwisho wa dunia: malaika watatokea, watawatenga waovu na wenye haki,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

49 Ndivyo itakavyokuwa mwishoni mwa nyakati: Malaika watatokea, watawatenganisha watu wabaya na watu wema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

49 Ndivyo itakavyokuwa mwishoni mwa nyakati: Malaika watatokea, watawatenganisha watu wabaya na watu wema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

49 Ndivyo itakavyokuwa mwishoni mwa nyakati: malaika watatokea, watawatenganisha watu wabaya na watu wema,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

49 Hivi ndivyo itakavyokuwa wakati wa mwisho wa dunia. Malaika watakuja na kuwatenganisha watu waovu na watu wenye haki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

49 Hivi ndivyo itakavyokuwa wakati wa mwisho wa dunia. Malaika watakuja na kuwatenganisha watu waovu na watu wenye haki.

Tazama sura Nakili




Mathayo 13:49
9 Marejeleo ya Msalaba  

na yule adui aliyeyapanda ni shetani; na mavuno ni mwisho wa dunia; na wale wavunao ni malaika.


Bassi, kama vile magugu yakusanywavyo na kuchomwa motoni; ndivyo itakavyokuwa katika mwisho wa dunia hii.


hatta lilipojaa, wakalipandisha pwani; wakaketi, wakakusanya zilizo njema vyomboni, bali zilizo mbaya wakazitupa.


Nae atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya panda, nao watawakusanya wateule wake toka pepo nne, toka upande mmoja wa mwisho wa mbinguni mpaka upande wa pili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo