Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 13:48 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

48 hatta lilipojaa, wakalipandisha pwani; wakaketi, wakakusanya zilizo njema vyomboni, bali zilizo mbaya wakazitupa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

48 Ulipojaa, watu waliuvuta pwani, wakaketi, wakachagua samaki wazuri wakawaweka ndani ya vikapu vyao, na wabaya wakawatupa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

48 Ulipojaa, watu waliuvuta pwani, wakaketi, wakachagua samaki wazuri wakawaweka ndani ya vikapu vyao, na wabaya wakawatupa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

48 Ulipojaa, watu waliuvuta pwani, wakaketi, wakachagua samaki wazuri wakawaweka ndani ya vikapu vyao, na wabaya wakawatupa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

48 Ulipojaa, wavuvi wakauvuta ufuoni, wakaketi na kukusanya samaki wazuri kuwaweka kwenye vyombo safi, lakini wale samaki wabaya wakawatupa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

48 Ulipojaa, wavuvi wakavuta pwani, wakaketi na kukusanya samaki wazuri kuwaweka kwenye vyombo safi, lakini wale samaki wabaya wakawatupa.

Tazama sura Nakili




Mathayo 13:48
6 Marejeleo ya Msalaba  

Viacheni vyote vikue hatta wakati wa mavuno: na wakati wa mavuno nitawaambia wavimao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita, mkayachome; bali nganu ikusauyeni ghalani mwangu.


Tena ufalme wa mbinguni umefanana na juya, lililotupwa baharini, likakusanya za killa namna:


Ndivyo itakavyokuwa katika mwisho wa dunia: malaika watatokea, watawatenga waovu na wenye haki,


Pepeto lake li mkononi mwake, nae ataitakasa sana sakafu yake; atakusanya nganu yake ghalani, bali makapi atayateketeza kwa moto usiozimika.


Nae Yesu akitembea kando ya bahari ya Galilaya, akaona ndugu wawili, Simon aitwae Petro, na Andrea ndugu yake, wakitupa jarife baharini; maana walikuwa wavuvi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo