Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 13:47 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

47 Tena ufalme wa mbinguni umefanana na juya, lililotupwa baharini, likakusanya za killa namna:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

47 “Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na wavu uliotupwa baharini, ukanasa samaki wa kila aina.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

47 “Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na wavu uliotupwa baharini, ukanasa samaki wa kila aina.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

47 “Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na wavu uliotupwa baharini, ukanasa samaki wa kila aina.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

47 “Tena, ufalme wa mbinguni ni kama wavu wa kuvua samaki uliotupwa baharini ukavua samaki wa kila aina.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

47 “Tena, Ufalme wa Mbinguni ni kama wavu wa kuvua samaki uliotupwa baharini ukavua samaki wa kila aina.

Tazama sura Nakili




Mathayo 13:47
33 Marejeleo ya Msalaba  

Tena ufalme wa mbinguni umefanana na hazina iliyostirika katika shamba; mtu akaiona, akaificha; na kwa furaha yake akaenda akanza alivyo navyo vyote, akalinunua shamba lile.


nae alipoona lulu moja ya thamani kubwa, akaenda akauza alivyo navyo vyote, akainunua.


hatta lilipojaa, wakalipandisha pwani; wakaketi, wakakusanya zilizo njema vyomboni, bali zilizo mbaya wakazitupa.


Akawaambia, Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wii watu.


Yesu akawaambia, Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu.


Kadhalika Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, waliokuwa washiriki wa Simon, Yesu akamwambia Simon, Usiogope; tangu sasa utakuwa ukivua watu.


Kilia tawi ndani yangu lisilozaa huliondoa; na killa lizaalo hulisafisha illi lizidi kuzaa.


Mtu asipokaa ndani yangu, atupwa nje kama tawi, akauka; huyakusanya, huyatupa motoni, yakateketea.


tena katika baadhi yenu wataondoka watu, wakisema mapotofu, wawavute wanafunzi kwenda nyuma yao.


kwa maana lazima kuwapo uzushi kwenu, illi waliokubaliwa wawe dhahiri kwenu.


kwa kusafiri marra nyingi; khatari za mito; khatari za wanyangʼanyi; khatari kwa jamaa; khatari kwa mataifa; khatari za mijini; khatari za jangwani; khatari za baharini; khatari kwa ndugu za uwongo;


bali kwa ajili ya ndugu za uwongo walioingizwa kwa siri.


NA kwa malaika wa kanisa lililo katika Sardi, andika; Haya ayanena yeye aliye nazo roho saba za Mungu na zile nyota saba: Najua matendo yako, ya kuwa una jina la kuwa hayi, nawe umekufa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo