Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 13:46 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

46 nae alipoona lulu moja ya thamani kubwa, akaenda akauza alivyo navyo vyote, akainunua.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

46 Alipopata lulu moja ya thamani kubwa, alikwenda, akauza yote aliyokuwa nayo, akainunua lulu ile.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

46 Alipopata lulu moja ya thamani kubwa, alikwenda, akauza yote aliyokuwa nayo, akainunua lulu ile.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

46 Alipopata lulu moja ya thamani kubwa, alikwenda, akauza yote aliyokuwa nayo, akainunua lulu ile.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

46 Alipoipata lulu moja ya thamani kubwa, alienda akauza vyote alivyokuwa navyo akainunua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

46 Alipoipata lulu moja ya thamani kubwa, alikwenda akauza vyote alivyokuwa navyo akainunua.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 13:46
15 Marejeleo ya Msalaba  

Tena ufalme wa mbinguni umefanana na hazina iliyostirika katika shamba; mtu akaiona, akaificha; na kwa furaha yake akaenda akanza alivyo navyo vyote, akalinunua shamba lile.


Tena ufalme wa mbinguni umefanana na mtu mfanya biashara, afafutae lulu nzuri:


Tena ufalme wa mbinguni umefanana na juya, lililotupwa baharini, likakusanya za killa namna:


Lakini siyahesabu maisha yaugu kuwa kitu cha thamani kwangu kama kuumaliza mwendo wangu na khuduma ile niliyopokea kwa Bwana Yesu, kuishuhudia Injili ya neema ya Mungu.


Lakini mimi, hasha nisijisifie kitu illa msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo, kwa huo ulimwengu umesulibishwa kwangu, na mimi kwa ulimwengu.


Mimi, niliye mdogo kuliko yeye aliye mdogo wa watakatifu wote, nilipewa neema hii, kuwakhubiri Mataifa utajiri wake Kristo usiopimika;


ambae ndani yake zimo hazina zote za hekima na maarifa, zimesetirika.


bidhaa ya dhahahu, na fedha, na jito lenye thamani, na lulu, na katani, na porfuro, na hariri, na nguo nyekundu; na killa mti wa uudi, na killa chombo cha pembe, na killa chombo cha mti wa thamani nyingi na cha shaba na cha chuma na cha marimari:


Na milango thenashara, lulu thenashara: killa mlango ni lulu moja. Na njia ya mji dhahabu safi kama kioo kisichoizuia nuru.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo